Thanks mkuu.ISUZU MITSUBISH HINO ZOTE ZINAFAA
Kwa masafa marefu ili ufanikiwe upate ya INJINI mbele then uibebeshe mzigo sawa na tani sevirce kwa kilomita hitaji
km ndo moja unaanza nayo routi za mwanzo mwenzi mzima kaa uangalie biashara inavyokwenda
Kubwa na muhimu km ni mkopo pigia hesabu siku 262 hizo 104 achana nazo
Thanks kwa ushauri bro, Ila hizo Asiastar si ni mchina unaweza kuzicompare na Fuso kweli au Isuzu Journey?Mkuu hizi gari kama utaagiza mwenyewe japan utaiingiza barabarani ushatumia 50m - 80m, kumbuka hauna uzoefu wa magari wala biashara ya usafirishaji, kumbuka hizi gari ni mtumba yaani ni mbovu toka huko ulikoinunua, ukifika unaanzia kwa fundi mala mastasilinda inavuja mala linachemsha drum zinachemka, haya spea za hizi ni mbinde kuzipata. mafundi wetu hawa wa veta nao tabu tupu likianza kupoteza upepo utamjua fundi rama mawaya anaishi mtaa upi hadi mkewe utamjua.
Nakushauri hzo hela nenda TATA watakupa mkopo wa gari mbili mpya, utarejesha ndani ya miaka miwili na gari zitakuwa bado kama mpya. au nenda asiastar watakupa kitu cha kwenye karatasi utarejesha kwa miaka mitatu na gari itakuwa bado mpya. asiastar haihitaji mpiga debe inajiuza yenyewe.
Engine nyuma huwa zinazingua sana na hata bei zake ni cheap ukilinganisha na za mbele..Je kuwa engine nyuma sio issue?
Tata nzuri lakini hazipo luxuly km alizotaja mtoa mada zina nafasi na abiria anakaa kwenye seat comfortable kutokana seat zake zilivyo kwa masafa marefu akizingatia sheria na kanuni ni nzuri kwa biashara 7bu abiria watakuwa wanazipenda nzuri injini ya mbele ila km itakuwa injini ya nyuma ujitahidi upate ya kilomita chachemkuu.... nashauri ufuate wazo la mchangiaji hapo juu.... nenda TATA maana utapata engine TATA na body marcopolo..... combination hiyo.... na hizo ni gari mpya... kuliko kuagiza gari za biashara used kutoka hapan....ni risky unaweza kupata nzuri au usipate..... na njia ya iringa ni milima.... nyang'oro ni issue.... goodluck mkuu... jiandae kupambana na kina nani kaona..
kweli kabisa aisee.... TATA ziko mfupa hatari hamna chochote.... ila hizo FUSO na HINO zinachukua abiria kama wako kwenye basi tuu...so aangalie yeye mkuu...Kuna Mitsubish injini nyuma inapiga mzigo iringa to mlimba roughroad milima ya haja na iko vizuri tu kila siku inakimbiza muhimu kuzingatia kanuni na umpate dereva mnzuri then usimbanie ili awe mtunzajiTata nzuri lakini hazipo luxuly km alizotaja mtoa mada zina nafasi na abiria anakaa kwenye seat comfortable kutokana seat zake zilivyo kwa masafa marefu akizingatia sheria na kanuni ni nzuri kwa biashara 7bu abiria watakuwa wanazipenda nzuri injini ya mbele ila km itakuwa injini ya nyuma ujitahidi upate ya kilomita chache
Asiastar ni korea ya kusini, ni gari imara ina bodi imara na ni luxurious, pia ina camera za usalama na gps traker unaweza tizama gari ina abiria wangapi ukiwa nyumbani mkuu.Thanks kwa ushauri bro..Ila hizo Asiastar si ni mchina unaweza kuzicompare na Fuso kweli au Isuzu Journey??
Mkuu engine ya hino inatumia vikojozi kikiziba kimoja engine inanoki na hizi barabara zetu hauwezi itumia miezi sita haijazima barabarani, Isuzu inatumia booster suspension system, hizi barabara zina mawimbi booster kupasuka ni kugusa tu, booster moja ni laki sita utabadili mara ngapi? Fuso ina tatizo la kuchemsha na ina tatizo la kukatika chesis kwa kuwa engine inakuwa nyuma na inakuwa kama iko kwenye bembea.Tata nzuri lakini hazipo luxuly km alizotaja mtoa mada zina nafasi na abiria anakaa kwenye seat comfortable kutokana seat zake zilivyo kwa masafa marefu akizingatia sheria na kanuni ni nzuri kwa biashara 7bu abiria watakuwa wanazipenda nzuri injini ya mbele ila km itakuwa injini ya nyuma ujitahidi upate ya kilomita chache
Kuna Mitsubish injini nyuma inapiga mzigo iringa to mlimba roughroad milima ya haja na iko vizuri tu kila siku inakimbiza muhimu kuzingatia kanuni na umpate dereva mnzuri then usimbanie ili awe mtunzaji
duh noma aiseeMkuu engine ya hino inatumia vikojozi kikiziba kimoja engine inanoki na hizi barabara zetu hauwezi itumia miezi sita haijazima barabarani, Isuzu inatumia booster suspension system, hizi barabara zina mawimbi booster kupasuka ni kugusa tu, booster moja ni laki sita utabadili mara ngapi? Fuso ina tatizo la kuchemsha na ina tatizo la kukatika chesis kwa kuwa engine inakuwa nyuma na inakuwa kama iko kwenye bembea.
Jamaa kaongea mapungufu tuu.....yaan zote mbaya.duh noma aisee
Vikojozi kila engine heavy duty inazo, booster airbags siku hizi sio ghali kama unavyosemaMkuu engine ya hino inatumia vikojozi kikiziba kimoja engine inanoki na hizi barabara zetu hauwezi itumia miezi sita haijazima barabarani, Isuzu inatumia booster suspension system, hizi barabara zina mawimbi booster kupasuka ni kugusa tu, booster moja ni laki sita utabadili mara ngapi? Fuso ina tatizo la kuchemsha na ina tatizo la kukatika chesis kwa kuwa engine inakuwa nyuma na inakuwa kama iko kwenye bembea.