Naomba ushauri kuhusu matokeo haya

Naomba ushauri kuhusu matokeo haya

Joined
Dec 22, 2017
Posts
53
Reaction score
22
Kijana wangu amepata four ya 29
Na matokeo ndio kama nilivyoyahainisha
Anaweza kusomea ishu gani?
plz naomba muongozo wenu wakuu

CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
 
Back
Top Bottom