Naomba ushauri kuhusu matumizi ya oil kwenye gari za diesel

Naomba ushauri kuhusu matumizi ya oil kwenye gari za diesel

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Niko na Nissan double cabin hardboard d22 nilikuwa natafuta oil aina ya total
muhindi ananiambia sio nzuri kwani mwisho ni km 3000 lakini hii ya bp ni mpaka
km 9000 naomba ufafanuzi wakuu lina ukweli gani hili?
 
Kama unataka oil ya total nenda kanunulie sheli moja kwa moja na wala sio maduka ya wahindi!nakuhusu kubadilisha oil kila baada ya km 3000 ni bora zaidi bila kujali aina ya oil!mfano mm kg 3000 natembea kwa wiki tatu tu!na Logoff
 
Mkuu GAZETI Issue sio jina la oil ama km itakazocover.unatakiwa usome user manual au google uone hari yako manufacture amerecommend oil yenye apecifications gani...kama ni Mineral ama semi sythetic au Fully sythetic.na utaziona kwa viwango vya SAE ama zaidizaidi kwa API grades..then ndio utafute ilipo
Mtindo wa kupelwka gari service atation ama kumuachia fundi watakuwekea chochote ..gari haitozima ila in long run itakula kwako
 
Last edited by a moderator:
Hizo Total watu wanachakachua vibaya huko Temeke huwezi kutofautisha na original packages
 
Kama unataka oil ya total nenda kanunulie sheli moja kwa moja na wala sio maduka ya wahindi!nakuhusu kubadilisha oil kila baada ya km 3000 ni bora zaidi bila kujali aina ya oil!mfano mm kg 3000 natembea kwa wiki tatu tu!na Logoff
ahsante mkuu.
 
Naomba msaada mwenye vipi more vya seat cover gari aina ya ISUZU WIZARD
 
km unazoandikiwa kweny oil ile ni kutaka tu ununue kumbuka oil inapoteza nguvu yake temperature inavyzid panda kwa hyo ni bora ujiwekee ratiba zako mwenyew mfano cc toyo mwaka unaenda wa 3 lkn iko fresh xna oil tunamwaka kila baada ya wiki mbil
 
Chukua synthetic oil , hasa za bp , ziko kwenye majina Mengi ila utazijua kwa alama zake maranyingi huandikwa 15w 40 , au 10w50, n.k Sifa moja mkuu za oil ya synthetic ni uwezo wake hubadilika kadiri joto la oil linavyopanda , ,kwa mfano kwenye baridi Kali oil inaweza kubehave viscocity 10w , , kwenye joto Kali oil hiyo hiyo itabehave viscosity ya 50w .
Mineral oil huwa zina fixed rate ya viscosity, ie 40w , hasara mojawapo ni kupoteza ubora wake mapema kuliko synthetic
 
Back
Top Bottom