Mkuu nimewahi kulima ya kuchoma nilipata mkuu. tena mwishowe nilipata zaidi maana mengine nilichoma mwenyewe. nililima kwa mfereji na ilikuwa ni off season. Hekari moja tu mkuu. changamoto ilikiwa ni ngedere lakini tuliwadhibiti.Nimelima mahindi miaka zaidi ya miwili maeneo tofauti.
Nachoweza kusema kwa hapa Tanzania Lima mahindi kama
Unalima for funny ila usitegemee faida
Haya mashudu ya nyanya yanapatkana wapi?Mashudu ya nyanya ni moja kati ya samadi bora sanaaView attachment 2291988View attachment 2291989View attachment 2291991
Kwenye kiwanda cha kusindika nyanya.Haya mashudu ya nyanya yanapatkana wapi?
Unayapataje ?Mashudu ya nyanya ni moja kati ya samadi bora sanaaView attachment 2291988View attachment 2291989View attachment 2291991
Panda mbegu Hybrid zinazohimili ukame , kabla uandae shamba vizuri na palizi na mbolea za dukani ...Mimi nalima mahindi ni sehemu napata faraja kwakweliNimelima mahindi miaka zaidi ya miwili maeneo tofauti.
Nachoweza kusema kwa hapa Tanzania Lima mahindi kama
Unalima for funny ila usitegemee faida