Naomba ushauri kuhusu neno la Kiingereza "category"

Naomba ushauri kuhusu neno la Kiingereza "category"

Kipala

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
3,763
Reaction score
700
Wapendwa,
naomba ushauri kuhusu neno la Kiingereza "category". Hii ni nini kwa Kiswahili?
 
Wapendwa,
naomba ushauri kuhusu neno la Kiingereza "category". Hii ni nini kwa Kiswahili?
Mimi sina cha kukushauri juu ya neno category,labda ungekuwa unataka kujua maana yake ningekusaidia!!
 
mchajikobe, asante kwa swali.
"Category" kwa Kiingereza ni namna ya kupanga maneno, dhana au vitu. Unayapanga kufuatana na tabia fulani kama yanafanana yako pamoja.

Ila tu hadi hapo tungesema haya yote kama "kundi, jamii, aina" na kadhalika.

Tumaini langu ni ya kwamba neno flani limeshakuwa kawaida katika matumizi ya lugha kuhusu neno fulani litumikalo pale ambako Kiingereza kinatumia "category".
 
Nadhani ukitumia "Fungu" unaweza kuwa karibu zaidi lakini vile vile kutumia "kundi' japo kwenye kiingereza bado una maneno mengi zaidi.
 
Wana JF, ninawashukuru kwa ushauri wenu!
 
Back
Top Bottom