Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
15 kwa 11 ni vipimo gani? Meter, feets?Ramani hii kwa kiwanja chenye ukubwa wa urefu 15 na upana 11,je inaweza kufiti na pia kipi niongeze ama kipi nipunguze..........Maoni yenu muhimu kwenye ili swala
View attachment 1882906
Sasa ndugu ukiweka ramani bila hata vipimo utapataje jibu? Maana yawezekana chumba kimoja kina 9mx8m kitatoshaje?Ramani hii kwa kiwanja chenye ukubwa wa urefu 15 na upana 11,je inaweza kufiti na pia kipi niongeze ama kipi nipunguze..........Maoni yenu muhimu kwenye ili swala
View attachment 1882906
Ishu sio ramani ila Umeweka ramani bila vipimo sasa tutajuaje ukubwa wa hiyo nyumba yako katika kiwanja hicho ndio maana nikakutolea mfano kama chumba kimoja ni 9mx9m tutajuaje?Ndio maana nimeiweka hapo ushauri wenu unahitajika,kama nawe ni mtaalamu unaweza ukanisaidia kutoa vipimo
Ksma ni meter inatosha sanameter
Naweza kukupa vipimoje unaweza kunipatia vipimo kama una idea ya architecture