Naomba ushauri kuhusu shamba langu

kakabahati

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
62
Reaction score
22
Jaman nna shamba langu huko rufiji kata ya kitembo,sasa nlikuwa naomba kama kuna surveyor humu ndan akansaidie kupima nsije nkawa nmenunua eneo la makaburi.....!!!
 
Pole mkuu kwa kuchelewa kupata majibu humu.Sijui umeshapata Surveyor?km bado nipigie nikuunganishe na Surveyor wangu akufanyie hiyo kazi.Namba zangu 0784054226
 
Jaman nna shamba langu huko rufiji kata ya kitembo,sasa nlikuwa naomba kama kuna surveyor humu ndan akansaidie kupima nsije nkawa nmenunua eneo la makaburi.....!!!

Kaka naomba number yako nataka kujua baadhi ya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…