Pole sana.Tulipoteza mtoto wa miezi 8 iliopita, mke wangu wakati ananyonyesha alikuwa hapati hedhi (najuwa ni kawaida ) ila hivsasa hanyonyeshi miez 8 sasa ila hedhi imegoma kutokea kabisa.
Imesemwa kuwa ni tatizo la homon na akapewa vidonge vya kutumia mwez mzma lakin hakukuwa na unafuu.
Nilimpa dawa asili fulani ikamsaidia akapata hedhi ila mwez ulofata haikutoka tena.
Naomba ushauri hili suala linatusumbua sana especially tuko kwenye harakat za kutafuta mtoto.
Natanguliza shukrani
asante sanaPole sana.
Ni vyema mkaenda hospital kuonana na daktari bingwa wa kina mama na uzazi, (obstetrician and gynecologist), ili kuweza kubaini tatizo hasa ni nini na hatimaye apatiwe matibabu sahihi.
Kila lakheri.
Stress..Nina huyu wangu ye huwa anaweza akaenda mwaka mzima amepata period mbili au tatu tu
Tatizo la hormoni... ana dada yake nae ana tatizo hilo.Stress..
Mazingira.
Madhara ya dawa za uzazi wa mpango na P2.
Tatizo la hormoni
Shida za kurithi banah huwa haziishi.Tatizo la hormoni... ana dada yake nae ana tatizo hilo.
Nimehangaika nae sana, kuna kipindi tulipata dawa fulani hivi ikatupa matumaini alivoanza kuitumia mwezi ulofuata akapata hedhi.. baada ya hapo bila bila tena.Shida za kurithi banah huwa haziishi.
Ni kuwa na Ufahamu sahihi tu juu ya mzunguko wake pale atakapopata hedhi ili kuwinda siku za kumpa ujauzito.
Mtu wa Aina hiyo usimpe Sana stress.
Sema wakizaaga huwa wepesi Sana kunasa mimba Tena.
Mungu ni fundi kweli kweli.