Nashukuru kwa ushauri!Inatokea pale kwenye valleyIngekua kwenye misimari ungeweka silcon nyeupe, ila kama ni Valley muite fundi aziseti poa
Je akitumia silcon ile nyeusi vipi haisaidii ?Ingekua kwenye misimari ungeweka silcon nyeupe, ila kama ni Valley muite fundi aziseti poa
Fundi anadai kuwa kuvuja ni kazi mpya hivyo anataka alipwe tena kwa ajili ya kufanya marekebisho hayo!Bado ninajifikiria kuhusu hilo maana nimepoteza kabisa imani kwenye ufundi wakeinavuja sana?
rudisha huyo fundi aweke vizuri hizo valley
Fundi anadai kuwa kuvuja ni kazi mpya hivyo anataka alipwe tena kwa ajili ya kufanya marekebisho hayo!Bado ninajifikiria kuhusu hilo maana nimepoteza kabisa imani kwenye ufundi wake
Tafuta fundi mwingine akurekebishieFundi anadai kuwa kuvuja ni kazi mpya hivyo anataka alipwe tena kwa ajili ya kufanya marekebisho hayo!Bado ninajifikiria kuhusu hilo maana nimepoteza kabisa imani kwenye ufundi wake
Hapo valley ya pili inahitajika ila igeuzwe mgongo ukae juuNashukuru kwa ushauri!Inatokea pale kwenye valley
Amekataa mkuu!Sema mvua nazo zimenikomaliaPeleka polisi huyo beba weka ndani hata siku moja atarekebisha tu bila malipo yeyote,yani kaharibu kazi alafu anakujibu kwa jeuri usikubali mkuu
Punguza unyongeAmekataa mkuu!Sema mvua nazo zimenikomalia