Asante sana ndugu,barikiwaCha kufanya ili kusaidia hilo nenda duka la mifugo kaulizie OTC wakupe uwape kwa siku utakazoambiwa then uwape chanjo kama hujawapa uanze na newcastle utulie siku saba unawapa gumboro utarudia tena newcastle wakifika wiki ya 5 unamalizia ndui halafu utakuwa unarudia newcastle kila baada ya miezi 3
Jambo jingine uhakikishe usafi wa banda na vyombo vya chakula kama wapo bandani
Asante sana kiongozi,ngoja tupambaneKinyesi cha kuku wako kimechangayikana na damu? Kama ndio, Kuna dawa inaitwa Coccidiostat inaweza kusaidia...inabidi uwatenge vifaranga na hao wakubwa, ila chanjo ingekusaidia kuepuka usumbufu. Inawezekana wanaumwa Coccidiosis.
Kama wananewcastle akiwapatia chnjo ndo watakwsh kbsa ile ni chnjo sio tiba hv inafaha kuwapatia kbla hawajaumwaCha kufanya ili kusaidia hilo nenda duka la mifugo kaulizie OTC wakupe uwape kwa siku utakazoambiwa then uwape chanjo kama hujawapa uanze na newcastle utulie siku saba unawapa gumboro utarudia tena newcastle wakifika wiki ya 5 unamalizia ndui halafu utakuwa unarudia newcastle kila baada ya miezi 3
Jambo jingine uhakikishe usafi wa banda na vyombo vya chakula kama wapo bandani
Wakuu salam kwenu,
Nimeanza kufuga kuku wachache ,ila shida imekuja walipoanza kutotoa, vifaranga wanashusha mabawa na kufa, nimeuliza nikaambiwa ni pumba inawakaba, mwingine akaniambia ni gombora au baridi. Naombeni ushauri wa mawazo na utaalamu nini nifanye ili vifaranga wapone.
Ni kuku wa kienyeji
Hivi viumbe saa nyingine mpaka unajiuliza vimerogwa unakuta dawa zote umewapa lakini bado wagonjwa