Naomba ushauri kuhusu tatizo la vifaranga kushusha mabawa

Elezea kwa uchache kwa kueleweka hao vifaranga unawalea kwa mfumo upi? na katika mazingira gani?
Umewapa chanjo?
Nashukuru sana kuwa nanyi sehemu hii.
Mimi nafikiri badala ya kuuliza anawalea kwa namna gani swali lake ni kwamba kuku wanashusha mabawa mjibu halafu mengine yaendelee kama kuna dawa kama anakosea kwenye kutunza aambiwe lakini cha kwanza aambiwe kama kuna dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…