mwanzepele
Member
- Nov 19, 2019
- 5
- 3
Nakubaliana nawewe mkuu yangu naikubali sanasifa mojawapo ya hii gari inapenda ligi barabarani. Inakimbia siyo mchezo.
Tatizo hzo engine za kisasa na mafundi wa kuungaunga chini ya mipera watakwambia n mabovu
Asante sana mkuu, ngoja nifanye mchakato.Tena mi nanunua manual trans so haitasumbua.Engine nzuri sana mi natumia ya 3.0 d4d, ila tu usije kurogwa ukaweka mafuta ya kidebe yale yanayouzwa na malori. Nenda petrol station weka mzigo jali service utaenjoy inachanganya fasta kama gari ya petrol tu, utaenjoy
Hio combinenga ya diesel,2000cc,manual kwny wese inakua inanusa tu hapo.Asante sana mkuu, ngoja nifanye mchakato.Tena mi nanunua manual trans so haitasumbua.
Hio combinenga ya diesel,2000cc,manual kwny wese inakua inanusa tu hapo.
Naona mzee baba una kitu cha 3.0 d4d,kitu kimetulia hicho.Hatari
Naona mzee baba una kitu cha 3.0 d4d,kitu kimetulia hicho.
Habari,
Nataka kununua gari aina ya Toyota Avensis 2.0 D-4-D, hii gari inatumia mafuta ya Diesel. Kuna mtu ana uzoefu na hizi gari. Pia kuna mtu ameshawahi kununua hii na anayo. Nilikuwa nauliza kuhusu changamoto za maintenance na ushuru wake maana TRA sioni option ya ushuru wa gari kama hiyo.
Asanteni.
Haa tunabangaiza tu, ila kitu kinachomoka hatar sana barabarani humo
Hahah nakijua hicho kitu mkuu,hapa kibaruani zipo hizo mziki wake si wa mchezo.
Tunavizia waseme wanaziuza watu wazigombanie lkn jamaa wanapiga chenga tu.
Ichukue hutajutia... Kuhusu TRA ngoja waje
Daah ngoja tupambane tuone mkuu.Komaa ukipata umepata, yenywe tulivizia ubalozini maana kuagiza mmhh haifai