Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
Habari vipi wadau katika jamvi hili la Jf Garage, naomba kupata msaada wa gari hizi aina ya Toyota surf.
1. Generation gani ni imara zaidi?
2. Upatikanaji wa spare zake...
3. Costs/Gharama za ununuaji....
4. NK.
Ahsanteni
View attachment 537392
Hiyo gari Sulf na hii Prado ni gari za aina moja, shida kubwa ni service ya mara kwa mara ya mikono ya mbele, Bush na Ball joints, ya diesel inasumbua, chukua ya petrol yenye engine ya 3rz
View attachment 537445
mkuu engine ya 3RZ na 2TR ipi nzuri?Mi ninayo ina miaka mitatu aisee, za diesel ni shiiida, za petrol ndio magoli engine 3rz zinatembea balaaaa sema tu nyuma hazina balance ni nyepesi na ili ukimbie tia mzigo kwenye boot, sijawahi gusa engine sema kifuani kuna hitaji seevice za mara kwa mara mara ball joint mara hubb ndio hilo tu ila ziko very comfortable hata foil yake ipo bomba mi naitumia singea huku
Za mwaka 2000, zenye 3RZ engine. Mimi nauza Tshs 18,824,000 (hio ni gharama mpaka gari kuwa barabarani kasoro bima)Hizi gari nimezipenda sana...Bei kutoka jp mpaka bongo ji kiasi gani
Subaru forests manual au alteza kutoka jpan yd bongo unafanya kwa being IP mkuuZa mwaka 2000, zenye 3RZ engine. Mimi nauza Tshs 18,824,000 (hio ni gharama mpaka gari kuwa barabarani kasoro bima)
wewe ni agent for clearance? unaweza kudili na gari kutoka japan hadi inifikie nyumbani kwangu?Za mwaka 2000, zenye 3RZ engine. Mimi nauza Tshs 18,824,000 (hio ni gharama mpaka gari kuwa barabarani kasoro bima)
Habari Nkt,mkuu
wewe ni agent for clearance? unaweza kudili na gari kutoka japan hadi inifikie nyumbani kwangu?
Habari,Subaru forests manual au alteza kutoka jpan yd bongo unafanya kwa being IP mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app