kwa nini usijenge chumba na sebule na choo ndani..mpaka mwisho ikiisha hiyo pangisha..chukua kodi hata ya mwaka ongezea na hela iliyo bakia..anzisha tena ujenzi wa chumba sebule na choo ndani hivyo hivyo..kama hela itakuwa bado ipo una weza anzisha tena ujenzi mwingine ukiwa ushachukua hela ya wapangaji tyr kwenye hiyo nyumba ya pili..ujenzi kidogo unachukua hela ndefu sasa kwa vyumba sita mkuu kwa hela hy czani kama itaisha mpaka kuweka wapangaji..ni ushauri tuNinaishi kwe kibanda changu,yes.Hii nataka iwe kibiashara.Mkopo unariba.Nimejaribu angalia biashara ya kufanya hapa dar ambayo haitahitaji my close supervision,nimeona nyumba kwaajili ya wapangaji,iko poa angalau.Una maoni gani tofauti Mindpower?
Nashkuru kwa ushauri mzuri,nitaufanyia kazi.kwa nini usijenge chumba na sebule na choo ndani..mpaka mwisho ikiisha hiyo pangisha..chukua kodi hata ya mwaka ongezea na hela iliyo bakia..anzisha tena ujenzi wa chumba sebule na choo ndani hivyo hivyo..kama hela itakuwa bado ipo una weza anzisha tena ujenzi mwingine ukiwa ushachukua hela ya wapangaji tyr kwenye hiyo nyumba ya pili..ujenzi kidogo unachukua hela ndefu sasa kwa vyumba sita mkuu kwa hela hy czani kama itaisha mpaka kuweka wapangaji..ni ushauri tu
Una gari mkuu? Nunua gari kwanza nyumba baadaye, kwani unalala nje? NASEMA ENDESHA GARI nyumba presha tuHabari wana jf,
Ni msomaji wa muda mrefu wa jukwaa hili pendwa lkn sijawahi weka bandiko,.
Leo naomba ushauri kutoka kwenu.Nina pesa kama 22m.Kiasi nimechukua Mkopo na kiasi kingine kutoka kwe vyanzo vyangu binafsi.Sasa nataka kujenga room sita ili niweke wapangaji.
Site IPO Dar nje kidogo ya mji.Je wenye ujuzi,wa kukadiria,hivi nawezamaliza nyumba mpaka level ya kuingiza mpangaji kwa 22ml?
Ushauri wenu ni muhimu sana.
Nashkuru kwa ushauri ndugu Werrason,ubarikiweAnzisha foundation ya room sita, then piga 3 huku ukiacha matoleo.....hela ikibaki piga hiyo room ya 4.....uzuri wa room za single ni rahisi kupata wapangaji tofauti na self.
Du! Kweli? Siku hizi tuna hazi gari za mwendokasi,naiona matumizi ya gari binafsi n kuniongezea garama.But thanx for ur challengeUna gari mkuu? Nunua gari kwanza nyumba baadaye, kwani unalala nje? NASEMA ENDESHA GARI nyumba presha tu
Amen[emoji120]Nashkuru kwa ushauri ndugu Werrason,ubarikiwe
OK nitakuchek kesho tuorodheshe fursa!Ninaishi kwe kibanda changu,yes.Hii nataka iwe kibiashara.Mkopo unariba.Nimejaribu angalia biashara ya kufanya hapa dar ambayo haitahitaji my close supervision,nimeona nyumba kwaajili ya wapangaji,iko poa angalau.Una maoni gani tofauti Mindpower?
Njoo tufanye joint venture. Nina nyumba zinahitaji finishing tuu 22 mil unamalizia unapangisha mpaka urudishe fedha zako!Habari wana jf,
Ni msomaji wa muda mrefu wa jukwaa hili pendwa lkn sijawahi weka bandiko,.
Leo naomba ushauri kutoka kwenu.Nina pesa kama 22m.Kiasi nimechukua Mkopo na kiasi kingine kutoka kwe vyanzo vyangu binafsi.Sasa nataka kujenga room sita ili niweke wapangaji.
Site IPO Dar nje kidogo ya mji.Je wenye ujuzi,wa kukadiria,hivi nawezamaliza nyumba mpaka level ya kuingiza mpangaji kwa 22ml?
Ushauri wenu ni muhimu sana.
Hii imekaa poa sanaKama umeshanunua tofali mchanga mawe cement room moja kujenga mpaka line mbili za juu ni laki3 piga mara6. Kupaua room moja hela ya ufundi tu ni 60k zidisha mara6. Kumimina zege room moja ni 40k zidisha mara6. Neru ya chini 30k mara 6 bado milango madirisha draft jipsam body jipsam ya ukutani. Hiyo pesa haitoshi jenga room tatu kwanza uweke wapangaji
Una gari mkuu? Nunua gari kwanza nyumba baadaye, kwani unalala nje? NASEMA ENDESHA GARI nyumba presha tu
Nashkuru sana ndugu Hossein kwa ushauri wako murua, nitaufanyia kazi.Kama umeshanunua tofali mchanga mawe cement room moja kujenga mpaka line mbili za juu ni laki3 piga mara6. Kupaua room moja hela ya ufundi tu ni 60k zidisha mara6. Kumimina zege room moja ni 40k zidisha mara6. Neru ya chini 30k mara 6 bado milango madirisha draft jipsam body jipsam ya ukutani. Hiyo pesa haitoshi jenga room tatu kwanza uweke wapangaji