Naomba ushauri kuhusu ujenzi

Njoo tufanye joint venture. Nina nyumba zinahitaji finishing tuu 22 mil unamalizia unapangisha mpaka urudishe fedha zako!
Bonge,issue sio kurudisha hela,hapa natafuta faida,angalau ipunguze makato ya loan.
 
Bonge,issue sio kurudisha hela,hapa natafuta faida,angalau ipunguze makato ya loan.
Ndio maana yangu upate faida ya fedha yako ni makubaluano tuu ya kisheria. Kwa kukadiria unatakiwa urudishe shs ngapi kila mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…