Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

Nijifunze nini bwana wewe wakati pesa inawaleta nannajipigia tuu mwanawane


Na huo ndio udhaifu wao mkubwa walio wengi siku hizi sababu ya tamaa na kutaka maisha mazuri kuliko uwezo wao halisi.
Kwa hiyo Mwanaume unaweza kucheza na akili ya mwanamke utakavyo akishakuwa na udhaifu huo wa tamaa ya Pesa na maisha mazuri kuliko uwezo wake.
Unaweza kumfanya vyovyote hata kumla kiboga. 😎😎
Yes mwanawane wanawake wee watumie tuu. They got no love for us bro. So why should we love them?
Wanape da hela zetu na sie tunapenda mbususu zao. Life is simple.


Nakuelewa mzee wa Totos Huna baya πŸ˜€πŸ˜…
Lakini adoado.
Ngono inachosha kinga za mwili ikizidi.
 
Mbususu tamu, tabia mbaya
 
Ah wee mtoto wa chuo anataka iphone u ampatia unamla kisoda na threesome juu yeye na rafiki yake.

Ah mie kinga za mwili tayari zipo down hapa nina hesabu siku tuu nijie zangu basi. Kazi kwao hao warembo nikaokuwa nimewaambukiza ngoma
 

Wewe huna kwenu wakulele watoto wako?

Naona unasukumizia mizigo ya ulezi kwa wazazi wa mwenzako tu.

Wewe ni mwanaume, jifunze kubeba majukumu na kuwajibika unapolikoroga.
 
Ah wee mtoto wa chuo anataka iphone u ampatia unamla kisoda na threesome juu yeye na rafiki yake.

Ah mie kinga za mwili tayari zipo down hapa nina hesabu siku tuu nijie zangu basi. Kazi kwao hao warembo nikaokuwa nimewaambukiza ngoma

πŸ™†β€β™‚οΈπŸ€¦β€β™€οΈ
Mzabzab wahurumie watoto wa Watu usiendelee kuwaambukiza Please.
Mungu atakubariki zaidi ukiamua kufanya hivyo.
Chagua mmoja tu wa kuwa nae ikibidi ambae tayari nae anao.
Ni ushauri tu lakini Naomba utafakali kisha uchukue hatua.
Halafu kwa namna ambavyo unakiri na kujikubali nakwambia Mungu atakujalia miaka mingi ya kuishi hadi ushangae,
Muhimu anza kushika miiko na kuishi kwa imani.
Mche Mungu, Fanya ibada regularly .
Punguza sex .
Chagua mwanamke mmoja tu unaemuelewa na kupendana nae.
Fanya Kwamba imetosha na umekinahi kusex wa wanawake wa aina tofauti tofauti .
Sema Basi yatosha.
 
Thanks bro for the concern.
Mie mwenzio nilishajijulia ninwa motoni so wala siwezi badilika hapa nahesabi miaka miwili mitatu nijifie zangu.
Kwanza natafuta hela ya kununua bunduki ili magonjwa yakishaanza kininyemelea najipiga risasi yaishe.

Anyways thanks for ur concern but no thanks.
 


Nakutakia Mungu aliye mwingi wa Rehema na Neema aifunue Neema yake ya wokovu kwako kwa njia anazojua yeye mwenyewe umpokee Yesu Kristo moyoni mwako atakuweka huru awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako yote utaishi miaka mingi yenye u-Kheri na afya itakuwa vizuri sana.
Usijali itawezekanaje yeye anajua kazi yake wewe kazi yako ni kumwamini na kilichofanyika msalabani kutukomboa wanadamu zidi ya dhambi zetu na kumpokea moyoni tu.

Mungu anakupenda sana hivyo ulivyo kuliko unavyoweza kuzani maana anaijua thamani yako.

Don’t think to die @ Mzabzab.

Tunakupenda uishi na Mungu hasa anakupenda zaidi.
 
Kweli wee ni optimist....natamani kuwa na mentality kama yako
 
Kweli wee ni optimist....natamani kuwa na mentality kama yako

I am humbled.

Utukufu wote apewe Bwana Mungu.

Mungu akupe na kukutimizia haja za moyo wako.

Nakutakia Kheri ya Mwaka mpya mwema 2025 na baraka tele kwako @ Mzabzab.
 
I am humbled.

Utukufu wote apewe Bwana Mungu.

Mungu akupe na kukutimizia haja za moyo wako.

Nakutakia Kheri ya Mwaka mpya mwema 2025 na baraka tele kwako @ Mzabzab.
Happy new year to u and ur family
 
π‘€π‘–π‘šπ‘– π‘›π‘–π‘˜π‘Žπ‘ β„Žπ‘–π‘Ÿπ‘–π‘˜π‘– π‘›π‘Žπ‘’ π‘‘π‘’π‘›π‘‘π‘œ
Inaonekana hata mkiingia kwenye ndoa bado kiporo kinapashwa.
Single mothers and single father
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…