Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Peace Be Upon Y’all
Husika na kichwa Cha Habari
Kuna site kimeoteshwa kibanda sasa uwani kumebaki nafasi ambayo plan ikawa iwekwe stand ya kubeba tank la maji la 10,000 ambayo litabebwa na stand imara za chuma za H Beam kwa mnaozifaham…..urefu usiopungua foot 10 kwenda juu ukicheck nyuma ya nyumba kuna kiji slope flani hivi….
To The Matter
Ulikuwa unahitajika ushauri wa kulitengeneza hilo stand, ufundi wake, estimated costs, ni H beam ya size gani itakua imara ya kuhimili uzito wake hilo tank la litre 10,000 likijaa maji, risk na changamoto zake na namna ya kukabiliana nazo, wapi material yanapatikana kwa gharama zenye ahueni etc.
YES, Kwa mazingira yaliyopo stand ya ghorofa / slabs za zege isn’t preferable.
Many Thanks & God Bless.