Naomba ushauri kutoka kwa wataalamu na watumiaji wa laptop kwa ajili ya kusomea

euca

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
3,811
Reaction score
4,178
Habari za Asubuhi wadau wa jukwaa hili ,ni kwamba nina uhitaji wa laptop kwa ajili ya kusomea kozi za OUT pamoja kutype document kadhaa na bajeti yangu ni 300K hadi 370K lakn katika kupita pita zangu huko mitandao nimekutana na seller fulani yeye ana Dell3189, Hp Probook 11e G5 generation 10 na Acer travel mate B,so kati hizo tatu ipi Iko njemA kwa hayo matumizi au ipi bora kati Yao lakini pia kama kutakuwa na model nyingine ambayo ni Bora zaidi ya hizo na inarange kwenye hyo bajeti yangu hapo juu basi waweza ipendekeza hapa Ahsante.
 
Kama una andika na Documents za hesabu kama Excel kwa wingi num pad ni muhimu sana.

Pia weka na specification husika hao watakiwambia gen ya 10 ama 11 halafu ni celeron akupige vizuri
 
Back
Top Bottom