Naomba Ushauri: Kuuza nguo za kike Mitumba/Mpya. Kariakoo Along Congo St.

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,689
Ndugu zangu poleni na majukumu ya hapa na pale.

Okay,To the point

Kutokana na hali ilivyo sasa ni wazi kuna umuhimu wa kuongeza vyanzo vipya vya mapato otherwise u kno how its like...

Baada ya kuongea na marafiki wawili watatu town wakaniambia kuna a small frame ipo kariakoo very close na Congo St. Nimewaza niplan kuuza nguo za kike ( blouses and dresses) hapo mitumba Grade A (baada ya kufungua bale mimi mwenyewe) with a good price kwa mtazamo wangu naona nitafanikiwa cz ubora ni mzuri, cheap and nguo hazifanani fanani (unique). Mnaweza ni suggest wholesale and retail prices.

In the long run hata ajira nitatoa kwa vijana kama wawili chini ya uangalizi wa shemej/wifi yenu.

Sasa ndugu zangu nakaribisha mawazo yenu...hii idea mnaionaje ?? Risks and Rewards mnaziona vp ??

Pia natafuta supplier wa nguo za kike hapa ndani wanao supply nguo mpya on credit hapa hapa bongo (kabla ya kuruka china et al) kwa some businessmen huenda wakawa na good deals then nikanunua kwao at the start.

Jamani karibuni Sana kwa Roho moja.
 
Biashara ya mtumba inalipa sana,ila ukianza kwa kukata bale mwenyewe itakukata na grade A utapata chache sana,anza kutembelea kwenye masoko makubwa ya mitumba wanapokata bale,jenga nao urafiki ili wanapokata bale zile viwango ndio wanakupa,Na wengi huenda sana na mikoani,Ukichangany na viatu na pochi utaona biashara itakavyokuendea vizur
 
Ndugu zangu poleni na majukumu ya hapa na pale.

Okay,To the point

Kutokana na hali ilivyo sasa ni wazi kuna umuhimu wa kuongeza vyanzo vipya vya mapato otherwise u kno how its like...

Baada ya kuongea na marafiki wawili watatu town wakaniambia kuna a small frame ipo kariakoo very close na Congo St. Nimewaza niplan kuuza nguo za kike ( blouses and dresses) hapo mitumba Grade A (baada ya kufungua bale mimi mwenyewe) with a good price kwa mtazamo wangu naona nitafanikiwa cz ubora ni mzuri, cheap and nguo hazifanani fanani (unique). Mnaweza ni suggest wholesale and retail prices.

In the long run hata ajira nitatoa kwa vijana kama wawili chini ya uangalizi wa shemej/wifi yenu.

Sasa ndugu zangu nakaribisha mawazo yenu...hii idea mnaionaje ?? Risks and Rewards mnaziona vp ??

Pia natafuta supplier wa nguo za kike hapa ndani wanao supply nguo mpya on credit hapa hapa bongo (kabla ya kuruka china et al) kwa some businessmen huenda wakawa na good deals then nikanunua kwao at the start.

Jamani karibuni Sana kwa Roho moja.
Usianze kwa kukata bale itakukata sana
 
Sawa Mkuu.

Plus kkoo kuna a very hostile competition unaweza uka import vitu nnje kuja kuuza pale na bado ukachemka watu barabarani wanauza the same stuff very very cheaply u keep wondering mzigo wao wanatoa wapi.

Sasa ukienda kichwa utalost big time.
 
Ndugu zangu poleni na majukumu ya hapa na pale.

Okay,To the point

Kutokana na hali ilivyo sasa ni wazi kuna umuhimu wa kuongeza vyanzo vipya vya mapato otherwise u kno how its like...

Baada ya kuongea na marafiki wawili watatu town wakaniambia kuna a small frame ipo kariakoo very close na Congo St. Nimewaza niplan kuuza nguo za kike ( blouses and dresses) hapo mitumba Grade A (baada ya kufungua bale mimi mwenyewe) with a good price kwa mtazamo wangu naona nitafanikiwa cz ubora ni mzuri, cheap and nguo hazifanani fanani (unique). Mnaweza ni suggest wholesale and retail prices.

In the long run hata ajira nitatoa kwa vijana kama wawili chini ya uangalizi wa shemej/wifi yenu.

Sasa ndugu zangu nakaribisha mawazo yenu...hii idea mnaionaje ?? Risks and Rewards mnaziona vp ??

Pia natafuta supplier wa nguo za kike hapa ndani wanao supply nguo mpya on credit hapa hapa bongo (kabla ya kuruka china et al) kwa some businessmen huenda wakawa na good deals then nikanunua kwao at the start.

Jamani karibuni Sana kwa Roho moja.

Mke wangu anauliza chupi ya Nandy inapatikana hapo?
 
Baada ya kuongea na marafiki wawili watatu town wakaniambia kuna a small frame ipo kariakoo very close na Congo St. Nimewaza niplan kuuza nguo za kike ( blouses and dresses) hapo mitumba Grade A (baada ya kufungua bale mimi mwenyewe) with a good price kwa mtazamo wangu naona nitafanikiwa cz ubora ni mzuri, cheap and nguo hazifanani fanani (unique). Mnaweza ni suggest wholesale and retail prices.

Mkuu Habari yako..
Vipi ulifanikiwa kuanzisha hii biashara..
 
Back
Top Bottom