Naomba ushauri kwa anayejua kuhusu mafuta ya ubuyu

puruwanji

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
81
Reaction score
28
naomba ushauri kwa anaejua kuhusu mafuta ya ubuyu nitumie kilo ngapi za mbegu il nipate lita moja ya mafuta ya ubuyu naomba msaada tafadhali
 
nashkuru kwa wazo lako ila maana ya kuomba msaada huu kua nataka kuagizia magunia (polo) ya ubuyu na nimepewa order ya lita 2500 na ndio mara yangu ya kwanza kuanza biashara ya mafuta ya ubuyu kwahio nikihitaji kujua kwa uhakika kabla ya kuagizia mzigo
 
Okay sawa mkuu. Kusema kweli labda sikuelewa uzi ila haya maelezo ungeyatoa kwenye uzi wako nadhani ingefaa zaidi.

Ngoja wazoefu wa ubuyu waje
 
Back
Top Bottom