sokoMchizi
Member
- Oct 15, 2022
- 50
- 210
Anaweza kusoma Open University Diploma in Primary Teacher Education au Diploma in Early Childhood Education.Habari za wakati huu wakuu , Nina Mdogo wangu Amemaliza certificate ya Ualimu Tabora Teachers college Grade A , ila Nilitaka ajiendeleze apate Diploma Ila kwa bahati mbaya sijapata chuo kinachotoa Diploma ya ualimu wa shule ya Msingi , Ninaomba ushauri Ni chuo gani anaweza pata diploma inayofanania na ualimu wa primary au aweze kuchukua hatua gani kujiendeleza
Zipo mkuu.ndomaan vyuo vina dahiliHivi hii sekta bado ina ajira?
aende VETAHabari za wakati huu wakuu,
Nina Mdogo wangu Amemaliza certificate ya Ualimu Tabora Teachers college Grade A , ila Nilitaka ajiendeleze apate Diploma Ila kwa bahati mbaya sijapata chuo kinachotoa Diploma ya ualimu wa shule ya Msingi.
Ninaomba ushauri ni chuo gani anaweza pata diploma inayofanania na ualimu wa primary au aweze kuchukua hatua gani kujiendeleza
Kwani walimu waliopo hawastaafu au kufa kiasi kuhitajika walimu wapya? Wa ku replace? Na population na shule haziongezeki kutokana na population kuongezeka? Huna akili weweHivi hii sekta bado ina ajira?