Naomba ushauri kwa waliofanya usaili wa Utumishi hivi karibuni

Naomba ushauri kwa waliofanya usaili wa Utumishi hivi karibuni

Sponsor1

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
12
Reaction score
11
Habari za leo wadau wa JF. Mimi ni Mwalim wa Kingereza Ngazi ya Shahada.

Naomba uzoefu kidogo kwa wale waliofanya usili wa Utumishi wa online wa hivi karibuni.

Je,

1. Maswali ni ya kuchagua au ya kujieleza?
2. Maswali ni ya kulenga zile duties zilizoandikwa kwenye Tangazo?

Asanteni sana ndugu zangu.

Natatajia kupata majibu mazuri.
 
Kwa kuna walimu wamefanya usahili hivi karibuni?
Ssubiria majibu.
 
Habari za leo wadau wa JF.Mimi ni Mwalim wa Kingereza Ngazi ya Shahada.
Naomba uzoefu kidogo kwa wale waliofanya usili wa Utumishi wa online wa hivi karibuni ,
Je,
1.Maswali ni ya kuchagua au ya kujieleza?
2.Maswali ni ya kulenga zile duties zilizoandikwa kwenye Tangazo?
Asanteni sana ndugu zangu.

Natatajia kupata majibu mazuri.
Mambo ya duties utakutana nayo oral
 
Habari za leo wadau wa JF.Mimi ni Mwalim wa Kingereza Ngazi ya Shahada.
Naomba uzoefu kidogo kwa wale waliofanya usili wa Utumishi wa online wa hivi karibuni ,
Je,
1.Maswali ni ya kuchagua au ya kujieleza?
2.Maswali ni ya kulenga zile duties zilizoandikwa kwenye Tangazo?
Asanteni sana ndugu zangu.

Natatajia kupata majibu mazuri.
Hapana, ni maswali ya taaluma yako tu...... hiyo ni upande wa afya.

Unaweza kuulizwa ya chuo zaidi na hata ya shule kama shule tu kwa baadhi. Mradi tu kichwa kiwe kizima
 
Back
Top Bottom