Habari za leo wadau wa JF.Mimi ni Mwalim wa Kingereza Ngazi ya Shahada.
Naomba uzoefu kidogo kwa wale waliofanya usili wa Utumishi wa online wa hivi karibuni ,
Je,
1.Maswali ni ya kuchagua au ya kujieleza?
2.Maswali ni ya kulenga zile duties zilizoandikwa kwenye Tangazo?
Asanteni sana ndugu zangu.
Natatajia kupata majibu mazuri.