Ninaomba wakuu mnaoilewa toyota brevis, ninapenda brevis yenye cc3000, je kuna utofauti mkubwa wa fuel consumption kati ya brevis ya cc3000 na ya cc2500? Na je nitakapotaka kuiuza brevis yenye cc3000 inaweza sumbua kwa sababu ya ukubwa wa cc? Natanguliza shukrani zangu.
Mhh cjui hiyo ya cc3000 mi ninayo ya 2500 cc IPO poa na wese ni 1litr per 12kms
Ni gari zuri na luxurious ile mbayaa...
Ninaomba wakuu mnaoilewa toyota brevis, ninapenda brevis yenye cc3000, je kuna utofauti mkubwa wa fuel consumption kati ya brevis ya cc3000 na ya cc2500? Na je nitakapotaka kuiuza brevis yenye cc3000 inaweza sumbua kwa sababu ya ukubwa wa cc? Natanguliza shukrani zangu.
acha kupotosha jamii, kwa hizo CC huezi enda 12kms kwa kutumia 1 ltr kamwe

Huyu jamaa muongo sana aisee, 1ltr for 12kms kwa brevis? Labda vitz

Jaribuni hata ku Google muone hiyo engine ni new technology kwa hiyo hata hizo cc zisikupe tabu. Ipo toyota crown cc 3000 inakwenda km 13 per litre.
Vitz kwenye 14-15KM/L..Vitz inaenda km ngapi kwa Lita?
Kwahiyo brevis inakwenda kms ngapi per litre?
Acha kukariri.
Jaribuni hata ku Google muone hiyo engine ni new technology kwa hiyo hata hizo cc zisikupe tabu. Ipo toyota crown cc 3000 inakwenda km 13 per litre.
Kamwe na mimi nasema kamwe. Labda iwe safarini lakini kwenye mafoleni haya never
Wanaleta group thinking hao bila reasoning yoyote..
Halafu kwenye safari ndefu mwenye vitz ndio anaumia zaidi kwenye mafuta maana inabidi akamue sana ili gari ikimbie utakuta rpm zaidi ya 5000.
Yaani nilikuwa namalizia kuosha vyombo nikuite wewe..... RRONDO.........na OLESAIDIMU........... Kaizer simuiti kwa sababu nimemnunia.........
Mmmh basi sawa ila ndio.unapendeza...nakuja na brevis sasa 2.5 maruni