Pole na majukumu ya kila siku, najtokeza kwenu kwa wataalam wa kilimo hasa kilimo cha tikiti maji(watermelon). Mm cna uzoefu na kilimo nimepata shamba
Hecta1 maeneo ya ulongoni g/ mboto dar es salaam. Swali langu je nkipanda tikitimaji mwezi wa tatu ntaweza kupata mavuno mazuri? Nmeuliza ivo kwa sababu mwezi wa march na april kwa kanda ya pwani huwa inavua nying sana na tikiti maji kwa mjibu wa wataalam wanasema haihitaji maji mengi. Naomba ushauri kabla cjaanza kuandaa shamba. Nakarbisha ushauri