Goodluck7
Member
- Mar 4, 2022
- 10
- 12
Wakuu msaada hapa mawazo tutani, napenda sana biashara ya samaki, naomba kujua ni kwa namna gani nitafanya bishara hii japo kwa mtaji mdogo ila tu inipe faida.
Kwa uenyeji mimi nipo mkoa wa mara jirani na ziwa victoria napenda sana kuiweza hii biashara na kama kuna mtu tunaeza piga nae mtaji chini tukashirikiana pia ni sawa tuwasiliane +255754965390 tupambane hadi tuitwe wafanyabiashara wakubwa wa samaki.