adidas power
Member
- Mar 13, 2020
- 33
- 37
Hapana mimi siyo fundiWewe ni fundi rangi za magari?
Sasa si itakuwia vigumu kupaka hiyo rangi? Labda uuze hizo rangi lakini sio kupaka.Hapana mimi siyo fundi
Suala la uuzaji wa rangi pia ni zuri nalichukua mkuu, ila kuna vijana wapo wenye ujuzi wa upakaji rangi tutasaidiana nao mimi nitakuwa msimamizi.Sasa si itakuwia vigumu kupaka hyo rangi? Labda uuze hizo rangi lkn sio kupaka
Never Invest In Something You Don't Understand-Buffet.Suala la uuzaji wa rangi pia ni zuri nalichukua mkuu, ila kuna vijana wapo wenye ujuzi wa upakaji rangi tutasaidiana nao mimi nitakuwa msimamizi
Kwa biashara hiyo sidhani kama watakubali wafanye kazi halafu wewe uje tu uchukue cha juu. Na vipi siku wakiamua kuondoka? Labda ufanye mchakato tu ujifunze na wewe.Suala la uuzaji wa rangi pia ni zuri nalichukua mkuu, ila kuna vijana wapo wenye ujuzi wa upakaji rangi tutasaidiana nao mimi nitakuwa msimamizi
Kufanya unachokipenda ni mlengwa wa umasikini.Katika kazi/biashara yoyote unayofanya/unayotaka kuifanya hakikisha unaifahamu vizuri na pia unaipenda hio kazi. Faida(hela) ni nyongeza baada ya kuwa unafanya kitu unachokipenda na kukifahamu kiundani.