Naomba ushauri, maoni au maelezo kuhusu hii kozi

Melck95

Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
10
Reaction score
2
Habari wana JF,

Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production).

Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism management pale MWEKA, naomba mwenye ujuzi na hii kozi au field ya utalii anijuze, atoe maoni au taarifa zozote kuhusu hiyo kozi tajwa.
Natanguliza shukrani zangu.
 
kozi ngumu hiyo na gharama za mweka zipo juu sana angalia sua
 
Kama una connection kwenye tourism industry sawa au kama unasoma for passion its fine! Ila kama ni mtto wa mkulima unayetegemea elimu basi achana na hyo course!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini unasema hivyo mkuu
Una-maanisha bila connection huwezi fanya shughuli yoyote ya utalii au ajira
 
Back
Top Bottom