kozi ngumu hiyo na gharama za mweka zipo juu sana angalia suaHabari wana JF,
Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production).
Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism management pale MWEKA, naomba mwenye ujuzi na hii kozi au field ya utalii anijuze, atoe maoni au taarifa zozote kuhusu hiyo kozi tajwa.
Natanguliza shukrani zangu.
Asante mkuu, lakini kuhusu ugumu wa kozi katika maisha yangu huwa siamini katika hilo.kozi ngumu hiyo na gharama za mweka zipo juu sana angalia sua
Asante sana mkuuSafi kabisa don't look what u do kama ni kigumu au ni easy but u must remember that " giving up is the greatest failure "
Sent using Jamii Forums mobile app
Najipanga kwa ajili ya hilo mkuuVp Hela unayo ..??
Icho tu ndo cha muhimu kwanza kwenye iyo course kama ipo nenda
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah ningependa wadau watujuze kiuhalisia fursa na mwelekeo wa hii sector ya utalii kwa kulingana na kozi husikaNasubiri pia maelezo ya wadau juu ya hii kozi,,wakuu karibuni mtiririke
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unasema hivyo mkuuKama una connection kwenye tourism industry sawa au kama unasoma for passion its fine! Ila kama ni mtto wa mkulima unayetegemea elimu basi achana na hyo course!
Sent using Jamii Forums mobile app