seriousman
Member
- May 29, 2019
- 17
- 20
- Thread starter
-
- #121
Thank you boss najitahidi kwa hiloJifunze kumwacha aende.......
Japo ni ngumu....ila nasisitiza...siku ulipozaliwa, wwzazi wako hawakukuambia kuwa utakutana naye...so jitunze kumwacha aende...[emoji41][emoji41][emoji41]
Usijali
Ataendelea kukupa mchezo kama kawaida
Nashauri ujiue
tunasemaga tu ila ukweli kaumia sababu hiyo alipenda alipendwa..sema hakuwa na jinsi maan aameshaoa tayari...stress ni wivu tu aisee kizuri kakikosa,..hata mi ingeniuma kama nimemzoea huyo mchepuko tunashare mengi ila **** hakufanyi asiolewe itabidi tu aoleweTofautisha kati ya tamaa na upendo ingekuwa ni tamaa tu asingeumia huyo mwanamke kuolewa ila kwa vile ni mapenzi ndo maana kaumia haijalishi kama bado anampenda mkewe au la hapo tatizo ni kwamba kampenda na mchepuko wakati mnasemaga huko nje huwa hampendagi
tunasemaga tu ila ukweli kaumia sababu hiyo alipenda alipendwa..sema hakuwa na jinsi maan aameshaoa tayari...stress ni wivu tu aisee kizuri kakikosa,..hata mi ingeniuma kama nimemzoea huyo mchepuko tunashare mengi ila **** hakufanyi asiolewe itabidi tu aolewe
Pole sanaHabari zenu wadau wa Jamiiforums.
Ni mara yangu ya kwanza kutuma ujumbe wenye maudhui kama haya hapa jukwaani.
Naomba mnipe ushauri jinsi ya kukabiliana na stress zinazonikabili.
Suala liko hivi; mwaka jana Oktoba mpenzi (mchepuko) wangu alipata mchumba akaja kuniuliza nikubali au nikatae asiolewe.
Mimi niliona sio vema kumkataza asiolewe maana mimi nina mke, lakini huyu mdada tulielewana sana, aliheshimu ndoa yangu sana, alikua mshauri mzuri mpaka kwenye masuala yangu ya kifamilia na kikazi.
Kuna wakati alikua akinishawishi nimuoe awe mke wa pili, lakini sikuwahi kuwaza kuwa na mke zaidi ya mmoja hivyo nilikataa, akasema sio shida anataka tuendelee kuwa wapenzi no matter what.
Sasa baada ya kumshauri akubali kuolewa, kweli jamaa mwezi Januari akaleta barua, kisha taratibu zote zikafuata.
Sasa leo ndio siku wapo wanafunga ndoa, kuna bonge la sherehe, dada zake (shemeji zangu) wamenipigia simu niende, rafiki zake wa karibu wa kazini kwao wamenipigia simu niende lakini moyo umeshindwa kabisa japo zawadi nilinunua nikampa rafiki yake akapeleka.
Wakuu huyu mwanamke ameolewa kwa ruhusa yangu lakini nimepata stress tangu juzi kila ninachofanya hakiendi, kila ninachoshika hakiendi, yaani nahisi kama akili zangu zimesimama kufanya kazi.
Nisadieni namna ya kukabiliana na hali hii ndugu zangu. Naomba msinitukane, msinihukumu wakuu, nisaidieni natokaje kwenye huu msongo wa mawazo.
Hivi wanaume si ndo mnasemaga hamchepuki kwa mapenzi bali mnachepuka kwa tamaa na mapenzi yanabaki kwa mke tu? Sasa wewe huyo mchepuko mbona inaonekana umempenda kabisa hadi unaumia yeye kuolewa? Ndo maana wake zenu hawataki na hawapendi mchepuke
Ila mnajitahidi kutafuta kila sababu ambazo hazina hata vichwa wala miguu za kutetea uzinzi wenu kumbe hamna lolote wote wale wale tu siku hizi hamna cha mwanaume wala mwanamke jinsia zote wapo ambao wakichepuka wanahamisha upendo na wapo ambao wakichepuka hawahamishi upendo tusidanganyane