Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdogo wangu ambaye amemaliza form four ana ufaulu wa 1.14. ana penda kusoma nursing, radiology au MD.
Je ni bora aende advc au chuo mojakwa moja??
Naombeni maoni yenu wakubwa🙏🙏
Ahsant kwa ufafanuzi mkuuKama ni nursing na radiology aende chuo moja kwa moja miaka mi 3 apige atajiendeleza huko mbeleni . Baada ya chuo miaka 3 n yeye aamue kufanya kazi au ajiendeleze moja kw moja
Ila kwa MD ni vizuri sana kupitia advance kisha MD. Ila ukisema apitie diploma uwezekano ni mkubwa asifikie hio MD. Miaka mi 3 clinical medicine na 5 MD pia Boom anaweza asipate % zote kama mko vzr kifedha sawa
Sawa mkuuAende chuo! Advance ni kupoteza muda t0
Kama tunavo jua kila chenye faida kina hasara ila tunaangalia chenye faida nying ndo kizuri.Samahani,naomba kujua zaidi,hivi kwenda moja kwa moja chuo au kwenda advance ni zipi faida zake au hasara,mi najua moja tu kwenda chuo faida yake ni kuokoa muda,je zipi faida au hasara zake, naomba kujua.
Kuna mdogo wangu ambaye amemaliza form four ana ufaulu wa 1.14. ana penda kusoma nursing, radiology au MD.
Je ni bora aende advc au chuo mojakwa moja? Naombeni maoni yenu wakubwa🙏🙏
Gender chuon moja kwa mojaKuna mdogo wangu ambaye amemaliza form four ana ufaulu wa 1.14. ana penda kusoma nursing, radiology au MD.
Je ni bora aende advc au chuo mojakwa moja? Naombeni maoni yenu wakubwa🙏🙏
Asante nduguKama tunavo jua kila chenye faida kina hasara ila tunaangalia chenye faida nying ndo kizuri.
1:Faida za kupita chuo moja kwa moj
A:Huokoa mda.
B:ushindani mdogo kwa kozi nyingi.
C: serikali inawachukulia kama watu wenye uzoefu wa kazi na mshahala wao ni mdogo ko hupewa ajira nyingi.
D:Uwezekano wa kufeli ni mdogo sana.
Hasara yake ni kuwa uwezekano mdogo wa kutopta mkopo akitaka kama degree.
Hasara za kwenda advc.
1:ushindani ni mkubwa sanaaaa. Kiasi kwamba kama hata pata kwa sasa 1.7 na kushuka bac,anaweza kwenda kozi ya maajabu zaidi.
2:kupoteza mda.
Faida zake ni kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata miopo.