Naomba Ushauri:mke wangu hanitaki baada ya kufunga nae ndoa.

Kachelenga

Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
26
Reaction score
6
Naomba ushauri wana jamii,mimi nimeoa mke miezi 7 iliyopita,ndoa ya kiserikali.Mimi na mke wangu tunaishi mikoa tofauti kutokana na mazingira ya kikazi,ndoa nilikwenda kufunga nae ktk mkoa anaefanyia kazi yeye,Baada ya kufunga nae ndoa ya KISERIKALI,mm nililudi ktk mkoa ninaoishi na kumuacha yeye huko ktk mkoa anakofanyia kazi ambako ndiko tulipofunga hiyo ndoa ya Kiserikali.Cha ajabu baada ya kufika ktk mkoa ninaoishi!mke wangu hakakata mawasiliano mimi na hukutaka tena kuwasiliana nami,nikimpigia simu hapokei,sms hazijibu,baadae niliamua kumtumia sms za kumlaumu,hizo alizijibu kwa malumbano,Baada ya muda,akaniambia hanitaki,nisiwasiliane nae tena!nilipomwambia ww ni mke wangu,alisema ndoa haitambui!.Nilipoendelea kumfuatilia,alidai tuvunje ndoa na akaniambia mm niende mahakamani nikatengue ndoa,mm nilikataa na kumwambia yeye ambae haitaki ndoa ndio aende mahakamani,alikataa na kudai niachane nae na nisimfuatefuate.je wana jamii ktk hali kama hii nifanyenini jamani wenzangu na mke nampenda au kama itashindikana kuwa nae taratibu zipi za kufuata??nina maana naomba kujua msaada wowote wa kisheria wa kufuata.
 
pole sana mkuu! kisheria, ndoa aina zote zina uzito sawa katika macho ya sheria! ninamaanisha, endapo mtafikia hatua za VALIDITY, ANNULMENT, DEVORCE nk. hata hivyo, nakushauri usifike huko mapema! anza kutafuta chanzo cha tatizo, jiangalie matendo na mawasiliano yako kwa wanawake wengine kama hayajakiuka kanuni za ndoa; kama upo clean, basi tumia uwezo wako kumchunguza mwenza wako ili ujue kama kuna ushawishi wowote toka nje ya mahusiano yenu!

ikiwa bado utapata ugumu, jaribu kushirikisha watu wenu wa karibu kujua tatizo! ikishindikana hapo na ukaridhia kwenda mahakamani, basi itakubidi uanze kwenda bodi ya usuluhishi wa ndoa (MRB). baada ya huko ndipo mahakama inaweza kutoa talaka na kuivunjilia mbali kabisa ndoa yenu!

pia ni vema kukumbuka kuwa "distance kati yako na my wife wako" inaweza kuwa adui wa ndoa, manake huenda you ndoa yenu haijawa "consumated" ipasavyo!

nb: zingatia na maoni ya watu wengine huku moyo wako ukikuongoza!
 
Kwa hiyo yule mke uliyekuwa unamtafuta JF ulitaka awe mke wa pili? Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
 
Kwanza nakupa pole sana sasa bc la msingi kwanza nenda huko aliko ili kujua tatizo nn hasa kuliko kutuma sms au kupiga sm kwani wwe uko mbali na yy yuko mbali sasa pengine anakufanyia hv ili uingie akili ya kumfata mukalitatue hilo tatizo nakuomba kwanza nenda kamsikilize kwanza anashida gani unajua wanawake ni watu ambao kidogo akili zao ziko tofauti na wanaume pengine anakufanyia hv kwa makusudi kwa sababu yuko mbali na macho yake hakuoni kama kweli unampenda nenda kwanza?
 
yaani una hekima ya hali ya juu GreenCity ! duh! Mwenyezi Mungu akuzidishie hekima hizi!umetoa ushauri mzuri kbs....
pole sana mkuu! kisheria, ndoa aina zote zina uzito sawa katika macho ya sheria! ninamaanisha, endapo mtafikia hatua za VALIDITY, ANNULMENT, DEVORCE nk. hata hivyo, nakushauri usifike huko mapema! anza kutafuta chanzo cha tatizo, jiangalie matendo na mawasiliano yako kwa wanawake wengine kama hayajakiuka kanuni za ndoa; kama upo clean, basi tumia uwezo wako kumchunguza mwenza wako ili ujue kama kuna ushawishi wowote toka nje ya mahusiano yenu!

ikiwa bado utapata ugumu, jaribu kushirikisha watu wenu wa karibu kujua tatizo! ikishindikana hapo na ukaridhia kwenda mahakamani, basi itakubidi uanze kwenda bodi ya usuluhishi wa ndoa (MRB). baada ya huko ndipo mahakama inaweza kutoa talaka na kuivunjilia mbali kabisa ndoa yenu!

pia ni vema kukumbuka kuwa "distance kati yako na my wife wako" inaweza kuwa adui wa ndoa, manake huenda you ndoa yenu haijawa "consumated" ipasavyo!

nb: zingatia na maoni ya watu wengine huku moyo wako ukikuongoza!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo yule mke uliyekuwa unamtafuta JF ulitaka awe mke wa pili? Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Nimeipenda hii maana watu wanaanzisha sred za uzandiki tu. Mtu unajipinda kutoa ushauri kumbe anacheka pembeni. Hii haikubaliki
 
Pole sana ndugu yangu kwa hayo yalokukuta na kuwa ktk wakati mgumu kiasi hicho. Usikukubali kuivunja ndoa maana itaonekana kuwa wewe ndo huntaki wakati yeye ndo kakukataa. Kwanza nenda kwa wazazi uwaeleze hizo habari usikie watakavyosema ndo upate pa kuanzia.
 
Kwa hiyo yule mke uliyekuwa unamtafuta JF ulitaka awe mke wa pili? Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

da mkuu ebu tupe link tumuadabishe yaweza kuwa umemfananisha..maana the story sounds too convincing..
 
Kwa hiyo yule mke uliyekuwa unamtafuta JF ulitaka awe mke wa pili? Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

Uwiiiiii wizi mtupu....na mie nimeshamkubalia ndoa ilikuwa ifingwe na modereta kesho
 
naomba ushauri wana jamii,mimi nimeoa mke miezi 7 iliyopita,ndoa ya kiserikali.mimi na mke wangu tunaishi mikoa tofauti kutokana na mazingira ya kikazi,ndoa nilikwenda kufunga nae ktk mkoa anaefanyia kazi yeye,baada ya kufunga nae ndoa ya kiserikali,mm nililudi ktk mkoa ninaoishi na kumuacha yeye huko ktk mkoa anakofanyia kazi ambako ndiko tulipofunga hiyo ndoa ya kiserikali.cha ajabu baada ya kufika ktk mkoa ninaoishi!mke wangu hakakata mawasiliano mimi na hukutaka tena kuwasiliana nami,nikimpigia simu hapokei,sms hazijibu,baadae niliamua kumtumia sms za kumlaumu,hizo alizijibu kwa malumbano,baada ya muda,akaniambia hanitaki,nisiwasiliane nae tena!nilipomwambia ww ni mke wangu,alisema ndoa haitambui!.nilipoendelea kumfuatilia,alidai tuvunje ndoa na akaniambia mm niende mahakamani nikatengue ndoa,mm nilikataa na kumwambia yeye ambae haitaki ndoa ndio aende mahakamani,alikataa na kudai niachane nae na nisimfuatefuate.je wana jamii ktk hali kama hii nifanyenini jamani wenzangu na mke nampenda au kama itashindikana kuwa nae taratibu zipi za kufuata??nina maana naomba kujua msaada wowote wa kisheria wa kufuata.
ukiona hivyo uliperform chini ya kiwango!
 
Pole sana mpendwa, kwa nini ukiamua kufunga ndoa ya serikalin? Kulikuwa na pingamiz gan msiamue kwnda kanisan au msikitin?
 
Naomba ushauri wana jamii,mimi nimeoa mke miezi 7 iliyopita,ndoa ya kiserikali.Mimi na mke wangu tunaishi mikoa tofauti kutokana na mazingira ya kikazi,ndoa nilikwenda kufunga nae ktk mkoa anaefanyia kazi yeye,Baada ya kufunga nae ndoa ya KISERIKALI,mm nililudi ktk mkoa ninaoishi na kumuacha yeye huko ktk mkoa anakofanyia kazi ambako ndiko tulipofunga hiyo ndoa ya Kiserikali.Cha ajabu baada ya kufika ktk mkoa ninaoishi!mke wangu hakakata mawasiliano mimi na hukutaka tena kuwasiliana nami,nikimpigia simu hapokei,sms hazijibu,baadae niliamua kumtumia sms za kumlaumu,hizo alizijibu kwa malumbano,Baada ya muda,akaniambia hanitaki,nisiwasiliane nae tena!nilipomwambia ww ni mke wangu,alisema ndoa haitambui!.Nilipoendelea kumfuatilia,alidai tuvunje ndoa na akaniambia mm niende mahakamani nikatengue ndoa,mm nilikataa na kumwambia yeye ambae haitaki ndoa ndio aende mahakamani,alikataa na kudai niachane nae na nisimfuatefuate.je wana jamii ktk hali kama hii nifanyenini jamani wenzangu na mke nampenda au kama itashindikana kuwa nae taratibu zipi za kufuata??nina maana naomba kujua msaada wowote wa kisheria wa kufuata.

Wewe jamaa huwa una habari za uwongo sana, HEBU PITIA THREAD ZAKO ulizowahi kuandika hapo nyuma! Unasumbua watu tu.
 
pole sana mkuu! kisheria, ndoa aina zote zina uzito sawa katika macho ya sheria! ninamaanisha, endapo mtafikia hatua za VALIDITY, ANNULMENT, DEVORCE nk. hata hivyo, nakushauri usifike huko mapema! anza kutafuta chanzo cha tatizo, jiangalie matendo na mawasiliano yako kwa wanawake wengine kama hayajakiuka kanuni za ndoa; kama upo clean, basi tumia uwezo wako kumchunguza mwenza wako ili ujue kama kuna ushawishi wowote toka nje ya mahusiano yenu!

ikiwa bado utapata ugumu, jaribu kushirikisha watu wenu wa karibu kujua tatizo! ikishindikana hapo na ukaridhia kwenda mahakamani, basi itakubidi uanze kwenda bodi ya usuluhishi wa ndoa (MRB). baada ya huko ndipo mahakama inaweza kutoa talaka na kuivunjilia mbali kabisa ndoa yenu!

pia ni vema kukumbuka kuwa "distance kati yako na my wife wako" inaweza kuwa adui wa ndoa, manake huenda you ndoa yenu haijawa "consumated" ipasavyo!

nb: zingatia na maoni ya watu wengine huku moyo wako ukikuongoza!

Naheshim mawazo mengine but this one is among the best advice ever.kila la kheri n pole kwa tatizo hilo .
 
Back
Top Bottom