MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 593
Wasalaam wana bodi,
Poleni na hongereni sana mbalimbali ya kijamii na kiuchumi. Ni imani yangu kwamba mu wazima wa Afya.
Kama heading inavyojieleza, napenda kuomba ushauri na mawazo yenu kwa wenye uzoefu/ujuzi wa uendeshaji wa mradi huu wa "Tipper" la kusafirishia mahitaji ya ujenzi kama mawe, mchanga, kokoto na matofali.
Natambua hapa JF kuna wajuzi mbalimbali wenye taarifa sahihi na muhimu za sekta hii ya usafirishaji wa resources za ujenzi.
Ningependa kupokea ushauri wenu kupitia maswala yafuatayo niliyoyaweka katika mfumo wa maswali:
1.KUHUSU UCHAGUZI WA GARI "TIPPER"
i) Ni aina ipi ya gari ambayo yafaa katika shughuli hii? ( Mitsubishi au Isuzu)
ii) Size ipi ya bucket inafaa? (nimewahi kuona ya 4.0 cubic metre - 4.5 m3)
iii) Yafaa kununua Tipper kwa mtu ama ninue jipya kabisa?
iv) Kama ni kununua jipya, Bei yake ipoje? Na kama ni kununua USED (lililotumika) lafaa liwe limetembea mileage ngapi na ni bei gani?
v) Kwa hapa Tanzania kuna yard zinazo uza ma Tipper mapya na USED?
vi) Kama ni kuagiza nje ya Tanzania, gharama zaa kupitisha bandarini zipoje?
vii) Nikipanga kununua "Tipper" ni vyema nikanunua kwa MKOPO ama CASH?
2.KUHUSU GHARAMA ZA UENDESHAJI WA CHOMBO:
- Ningependa kujua pia gharama za uendeshaji wa chombo kupitia mambo haya niliyoyaweka katika mfumo wa maswali:
i) Kwa heavy duty; Siku moja gari inaweza gharimu mafuta ya bei gani?
ii) Posho ya dereva kwa siku inafaa alipwe shillingi ngapi?
iii) Yafaa dereva alipwe kwa mfumo gani; Mshahara kwa mwisho wa mwezi/wiki au posho kwa siku?
iv) Anahitaji turn-boy au yeye dereva pekee anatosha katika chombo?
v) Trip moja ya mchanga hugharimu shillingi ngapi jumla (kuinunua na kuisafirisha)?
vi) Malipo ya wapakiaji ni shillingi ngapi kujaza gari ya 4.3 m³?
vi) Kwa usafirishaji wa magofali ya block; Tofali moja huchajiwa bei gani?....Na gari la 4.3 m³ linabeba tofali ngapi?
vii) Ufungaji wa kifaa cha GPS-Tracking ni muhimu katika mradi huu? Gharama zake zipoje?
viii) Katika eneo ambalo linashughuli nyingi za ujenzi, mradi huu unaweza ingiza mapato kiasi gani kwa chombo hiki cha " Tipper"?
ix) Kila mradi/biashara huwa na changamoto zake, zipi ni changamoto katika mradi huu....hasa kwenye masuala ya services za gari!
x) Kwa wale wazoefu walioishi ama kutembelea maeneo mengi hapa nchini; Ni mji upi ambao mradi huu una demand kubwa na competition haijawa kubwa kwa "new comers"?
Nawasilisha, nitashukuru kwa maoni na ushauri wenu.
NB:
Huwa inanilazimu kufanya utafiti na kupata maoni na mawazo ya Wadau wenye uzoefu wa jambo fulani kabla ya kuingia kufanya jambo hilo.
Ipo wazi kuwa sekta ya ujenzi haikomi kutokana na ongezeko la idadi ya watu kila siku. Katika kujua hilo haitoshi kuingia mazima mazima, DUE DILIGENCE ni muhimu; imenibidi niombe ushauri na mawazo kwa walio na uzoefu katika nyanja hii ya usafirishaji wa mahitaji ya ujenzi.
Ahsante sana.