VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
Anaazimwa Kwa mwajiri huyoyuyo yaani DED wa Halmashauri anayofanyia kaziMwalimu kwanza anatumia TGTS sio TGS halafu anaazimwaje kwa Mwajiri huyohuyo? Au wana muhamisha kwa muda?
kwa sheria za utumishi mshahara wa utumishi unaweza kushushwa kweli unapopandishwa? Maana kupanda kwa daraja ndo kupanda kwa mshahara
Hilo nadhani halipo,ngoja waje wajuvi zaidi,nadhani atafanyiwa recategorization bila kuathiri mshahara otherwise upande ila si kushuka
Mwalimu kwanza anatumia TGTS sio TGS halafu anaazimwaje kwa Mwajiri huyohuyo? Au wana muhamisha kwa muda?
Madhara ya kuazimwa ikitokea wamepata mtu wa ku-replace watakurudisha kwenye kazi yako ya awali maana ikama yao itaendeleea kusoma upungufu wa wafanyakazi katika nafasi uliyoazimwa!Yah una azimwa tu mkuu,mimi ni mwalimu lakini niko redion mwaka wa tatu huu
Sasa ndio mkutadha wa hoja hapo juu maana tayari alishapa daraja akubali afanyiwe recategorization kwenda idara ya mipago kama Mchumi mshahara ushuke au aazimwe?Ukifanya makosa unashushwa daraja mkuu,ila mtumishi akifanyiwa recategorization sio kwamba kapanda cheo ila anaenda kuanza majukumu mengine hapo nmeongelea recategorization za idara na sio zile za muundo
Aende tu halmashauli kama daraja atapanda tu maana huko kuna posho ila Kama ana nyege za kufundisha wamuazime.Nina jamaa yangu amesoma BA with Education (Economics and Commerce) Ameajiriwa kama Mwl Secondary na Mwaka jana alipanda daraja TGS E.
kuna nafasi imetokea halmashauri anayofanyia Kazi wamemwabia kama anaweza wamfanyie recategorization awe mchumi ila daraja litashuka kuwa TGS D AU wamwazime ili aendelee na cheo chake cha ualimu (Daraja alilofikia la TGS E)
Hivyo anaomba ushauri
Ndugu wanajamvi utamshauri nini ili achague chaguo sahihi
NotedUshauri,aende kuwa mchumi tu kule kuna marupu rupu mengi pia njia ya kutokea kwenda kweny taasis kubwa ukilinganisha na akibaki na ualimu ,kushushwa msharaha lazima ashushe ilo takwa la kiutumishi maana anaenda kuanza na cheo kipya sio yeye tu wengi wamefanyiwa ivyo.ishu siomshahara ishu kuangalia malengo yko iyo nafasi ata kumbuka siku moja,kuhusu kuanzimwa siafiki maana watamtumia kama mchumi lakini atabaki kuwa mwalimu kimuundo ivyo ataweza kukaa ata miaka kumi siku wakiajiri mchumi atarudishwa kwenye chaki tena au akifanya makosa ya kiutumishi.mwisho nashauri aende wambadilishirie haraka sana akubali kushuka tu.
Miongozo gani mkuuMleta mada fuata miongozo...
Sasa ndio mkutadha wa hoja hapo juu maana tayari alishapa daraja akubali afanyiwe recategorization kwenda idara ya mipago kama Mchumi mshahara ushuke au aazimwe?
Atakspoenda halmashauri Kama mhasibu ataanzia D maana ndio kwanza ameanza kazi ya uhasibu, daraja ni matokeo ya kufanya kazi kwa muda na kupata uzoefu hivyo mtumishi anaaminika kua bora zaid. Kama amefanya recategorization maanake kwa kazi hiyo ndio ameanza.
Ushauri aende tu, kimaslahi atapata posho hivyo atapata hela kuliko mwalimu wa TGTS E na heshima atapata kuliko mwalimu
Ila walimu mna matatizo sana.Nina jamaa yangu amesoma BA with Education (Economics and Commerce) Ameajiriwa kama Mwl Secondary na Mwaka jana alipanda daraja TGS E.
kuna nafasi imetokea halmashauri anayofanyia Kazi wamemwabia kama anaweza wamfanyie recategorization awe mchumi ila daraja litashuka kuwa TGS D AU wamwazime ili aendelee na cheo chake cha ualimu (Daraja alilofikia la TGS E)/
Hivyo anaomba ushauri.
Ndugu wanajamvi utamshauri nini ili achague chaguo sahihi