Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu wadau wa JF nawaomba mnishauri na kunielekeza wapi nitapata na ni aina gani nzuri bora ya pikipiki ya kike.
kwetu pazuri..
nimeshapakumbuka..
Ndugu wadau wa JF nawaomba mnishauri na kunielekeza wapi nitapata na ni aina gani nzuri bora ya pikipiki ya kike.
Ndugu wadau wa JF nawaomba mnishauri na kunielekeza wapi nitapata na ni aina gani nzuri bora ya pikipiki ya kike.
Piki piki ya 'kike!' Hivi kumbe piki piki ninazoziona kila siku ni za 'kiume?' Du!!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
umekumbuka nini wewe mzee???!!!
Piki piki ya 'kike!' Hivi kumbe piki piki ninazoziona kila siku ni za 'kiume?' Du!!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Acha upimbi wewe...simu yenyewe unatumia ni Nokia tochi ya baba Mwenye nyumba wako,halafu unaleta ujivuni humu!Kitu Yamaha, kizuri kwa ladies. Mama watoto wangu anacho hiki
![]()
Acha upimbi wewe...simu yenyewe unatumia ni Nokia tochi ya baba Mwenye nyumba wako,halafu unaleta ujivuni humu!