Naomba ushauri na tiba ya tumbo lenye dalili hizi

Status
Not open for further replies.
Umesahau kumshauri wakati anakunywa inabidi awe karibu na choo.Hiyo mixer acha kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtu kaniambia hii ni ngiri,ameahidi kunitafutia dawa,nikifanikiwa nitakujulisha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa za kienyeji za Ngiri zipo nyingi sana, ila uzungu sometimes unatuharibu kufanya tuzidharau.

Moja hii: chukua mizizi ya Kibambara, mizizi ya Muhina, mizizi ya Tunguja na Mserere, chemsha halafu utakuwa unakunywa kutwa x2 hapo Ngiri itakuwa imepata dawa yake.
 
 
Nipe namba yako nikutumie watsup Mashina yote mawili labda ni ndo nayachaganya samahani lakini kwa usumbufu ndugu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…