baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,129
- 4,028
Habari wakuu,
Nina shamba langu maeneo ya Morogoro, Melela kama eka 10 hivi, sasa kwenye lile shamba wakati ninalisafisha kuna mwamba umeonekana wa dhahabu wao wanaita mwamba dume na wadau wakazidi kusema palipo na mwamba dume, mwamba jike uko karibu maana miamba inatembea pamoja.
Hivyo nimekata shauri nataka kuanza kuchimba japo kama mchimbaji mdogo.
Naomba ushauri wenu na uzoefu wenu katika madini.