Asante sanaHilo kama ni shamba lako, ikitokea tu kweli huo mkanda jike umeonekana, wahi wizara ya madini ukakatie leseni. Wakikuwahi wengine wakakata leseni basi utabaki mmiliki wa ardhi na leseni ya madini itakuwa ya mwingine. Madhara yake ni kuwa hutokuwa huru na uhalali wa kuchimba, kwa vile huna leseni. Kumbuka, ardhi ni yako (kinadharia), madini ya serikali
Niuzie hilo shamba mkuu