Naomba ushauri, nahitaji kufungua biashara ya duka la nguo

Naomba ushauri, nahitaji kufungua biashara ya duka la nguo

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,301
Reaction score
1,788
Habarini za masiku ndugu zangu, matumaini yangu mpo wazima kabisa kiafya kimwili na kiroho. Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni kijana mwenzenu ambae nipo kwenye zone ya kuhustle kimaisha na pendekezo langu ni kuwa mfanyabiashara wa duka la nguo kati ya mikoa ya Arusha, Moorgoro, Moshi, Dodoma pamoja na Pwani (Kibaha, Maili moja).

Ningepende kufahamu kwà upana kidogo juu ya mikoa tajwa hapo juu ipoje kwenye mzunguko haswa wa biashara kuanzia kodi ya pango, vikodi vya manispaa usumbufu upoje movement ipoje changamoto zipoje Katika mikoa hiyo.

Binafsi natamani kwenda kuanzisha kabishara kidogo moja ya mikoa pendekezwa.

Najua humu kuna wajuzi mbali mbali wenye uzoefu kidogo haswa wenyeji waliowekeza kwenye mikoa hiyo waje watupe details mbili tatu kuhusu.

Nakaribisha maoni yenu.
 
Back
Top Bottom