Naomba ushauri: Nahitaji kufungua duka la vitambaa

ma ndizi

Member
Joined
Oct 7, 2023
Posts
5
Reaction score
4
Habari za jioni wana-JF,

Natamani kufungua duka la vitambaa lakn changamoto ni kwamba sijajua wapi naweza pata vitambaa kwa bei ya jumla.

Na mtaji wa 5M naweza kufungua biashara hiyo?
 
Una uzoefu na hiyo biashara, sijawahi kuifanya ila nahisi ina ujanja mwingi.

Nakushauri uingie field kwa kuuza duka la mtu au kufundishwa na mtu aneifanya hiyo biashara.
 
Location muhimu sana hiyo biashara, maeneo ambayo kuna makazi ya waislamu wengi ndo inaenda hiyo, fanya research vizuri ila ni biashara nzuri
 
Location muhimu sana hiyo biashara, maeneo ambayo kuna makazi ya waislamu wengi ndo inaenda hiyo, fanya research vizuri ila ni biashara nzuri
Addition:

kama ni mwanamke ajichanganye sana na wale wamama wanaopenda mashughuli kwa ajili yakufungisha sare maana wanakataga mita nyingi nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…