Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Ni sahihi naelewa bossTRA watakushauri vizuri ila natumaini gharama za kuisajili hiyo kampuni zipo nje ya huo mtaji
Wazo lipo na ndiyo maana nimeomba ushauri kwa wazoefu kwa hicho kiwango changu cha mtaji.Unataka kufungua kampuni inayojishughulisha na kitu gani hasa?
Dah ungetoa ushauri mimi ndo ningechambua mada iliyopo hapo ni tofaut na unachoniuliza!Hivi we jamaa...hata kampuni unayotaka kufungua hujui alafu unaomba ushauri....hivi unajielewa kweli...????
Anyway....fungua kampuni ya ulinzi
Una uhakika Jana nimeleta Uzi Kama huu! Siyo bure ww umelogwa!We jamaa una kichaa Jana si ulileta Uzi wa namna hii watu wakafunguka kilankitu halafu leo unauliza swali Lile Lile.
Huwez kuwa na kampuni wewe.
Haha we ni mgonjwa wallahUna uhakika Jana nimeleta Uzi Kama huu! Siyo bure ww umelogwa!
Huo uzi una uhusiano gan hapo nikiuliza faida umeona Kuna neno faida leo?? Nyau we[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenye kichaa ni mama yako unayemfananisha na mm!