Naomba ushauri namna sahihi au njia sahihi ya kumsaidia ndugu yangu huyu

Naomba ushauri namna sahihi au njia sahihi ya kumsaidia ndugu yangu huyu

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Wakuu kwanza Nawatakia sabato njema upendo na Mwanga ukatawale katika maisha yenu.


Nina ndugu yangu Ana umri wa miaka 33 kazaliwa 1992

Elimu yake darasa la saba.

Ndugu hana Kazi ya kudumu , hana baishara iliyosimama .

Achievement yake kubwa Ana familia mke na mtoto mmoja.

Mimi binafsi huwa napenda kusaidia watu Sana ili wafanikiwe .

Sasa nimepata hela Kama million nane .


Hii hela nitbaki na Kama million mbili .

Je nimtafutie ujuzi gani utakaompatia Maisha ili at least akija kutoboa 35 yrs awe ameshasimama.


Kuhusu huyu ndugu yangu

Mpole
Mtu wa kujituma
Anashaurika.


Guys I need ur insights

Mimi ni kaka yangu kanipita Kama four years tu .
 
Mnaweza kusema nilikuwa wapi Mimi nimetoka chuo I have only one year .
 
Ni vizuri ukiongea naye kwa kina ili akuambie kile anachotamani kufanya.
 
Back
Top Bottom