Andika barua kwa mkurugenzi mkuu wa taasisi husika ukimuomba ruhusa ya kufika na kutangaza biashara yako kwa watumishi.
Kama matangazo ya biashara yako yanahusisha kuwakusanya watumishi na kuwapa semina, inabidi uspecify aina, na idadi ya siku unazohitaji. Kama unataka tu sales people wako wakae pale nje na meza na tent na brochure then watumishi wakiwa wanapita kwenda luch au issue zingine, wanapita pale wanapewa shule na vipeperushi then wananunua/jiunga na hiyo huduma yako.
Taasisi watakujibu kwa barua kukubali/kukataa ombi lako. Incase wamekubali watakupa contact person atakaekuassist kwenye logistics na utaratibu mahususi wa kufanya matangazo yako hapo.