Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Naitunza hii kwa matumizi ya badaeUnaposema old model hizo zote zitakuwa na features sawa isipokuwa kunakuwa na utofauti kidogo kutokana na gari ilikuwa inatumiwa hivyo kuna vitu huenda mtumiaji ameongeza.
Kiujumla kuna ist za aina tatu kutokana na code zake ncp60,ncp61 na ncp65.
NCP 60- Hii inakuwa na engine ya 2nz na 1290cc na nifront wheel drive.
NCP61-Hii inakuwa na engine ya 1nz na 1490cc na nifront wheel drive.
NCP65-Hii inakuwa na engine ya 1nz na 1490cc na ni 4wd.
Sasa hapo uzuri wa ipi ununue itategemea na matumizi yako
Unaposema old model hizo zote zitakuwa na features sawa isipokuwa kunakuwa na utofauti kidogo kutokana na gari ilikuwa inatumiwa hivyo kuna vitu huenda mtumiaji ameongeza.
Kiujumla kuna ist za aina tatu kutokana na code zake ncp60,ncp61 na ncp65.
NCP 60- Hii inakuwa na engine ya 2nz na 1290cc na nifront wheel drive.
NCP61-Hii inakuwa na engine ya 1nz na 1490cc na nifront wheel drive.
NCP65-Hii inakuwa na engine ya 1nz na 1490cc na ni 4wd.
Sasa hapo uzuri wa ipi ununue itategemea na matumizi yako
Nadhani ungefafanuka kuhusu ubaya wake ungetujenga sana mkuu, hebu fafanuka tafadhali?!NCP65 yenye 4WD achana nayo kabisa inasumbua,na pia unaponunua kama ni beforward kuwa makini kwani kuna gari hawasema kama ni 4WD au 2WD unanunua unakuta chuma kimefika ni 4WD
NCP65 yenye 4WD achana nayo kabisa inasumbua,na pia unaponunua kama ni beforward kuwa makini kwani kuna gari hawasema kama ni 4WD au 2WD unanunua unakuta chuma kimefika ni 4WD
Nadhani ungefafanuka kuhusu ubaya wake ungetujenga sana mkuu, hebu fafanuka tafadhali?!
Nadhani ungefafanuka kuhusu ubaya wake ungetujenga sana mkuu, hebu fafanuka tafadhali?!
Ipi website nzuri ya kununulia SBT vipi
SBT/Beforward wote ni wazuri tu cha msingi unapochagua uwe makini waweza tumia zile filter ukachagua zenye 2WD only pia jitahidi kuangalia zenye km chache huwa naona ni bora zaidi
Suala la mileage huwa sinaga iman na hawa watu lazma wanachezesha tu
Hizo gari ulizonunua zilikua Sina gani ?Inategemea mkuu,binafsi nilinunua gari beforward ikiwa na 50,000km nikaja kununua sbt ikiwa na 180,000km nikaja nunua trust car japan ikiwa na 72000km.Kiukweli nilizonunua na low km ziko vizuri mno ndio maana huwa napendekeza hivyo tena ikiwezekana kwenye befoward kama uko vizuri select one owner zinakuwa super sana
Hizo gari ulizonunua zilikua Sina gani ?
Inategemea mkuu,binafsi nilinunua gari beforward ikiwa na 50,000km nikaja kununua sbt ikiwa na 180,000km nikaja nunua trust car japan ikiwa na 72000km.Kiukweli nilizonunua na low km ziko vizuri mno ndio maana huwa napendekeza hivyo tena ikiwezekana kwenye befoward kama uko vizuri select one owner zinakuwa super sana
Ngoja Kiduku Lilo aje
Kwenye one owner sijakuelewa mkuu nieleweshe hapa
😉 😉[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Wanamaana kwamba hiyo gari toka imetoka kiwandani imemilikiwa na mtu mmoja
Ninadhani alitaka kusema 'aina' gani.Sina gani ndio nini?