Naomba ushauri nataka kuanzisha biashara ya kuuza vipuri vya magari

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
320
Reaction score
215
Wadau nina mtaji wa Tsh 3,000,000 na ninataka nianzishe duka la kuuza vipuri vya magari. Ninapenda biashara hii kwa sababu mimi ni mdau wa magari sana.

Naombeni ushauri nianze na bidhaa zipi.

NB; Eneo ambalo nitaanzisha tayari kuna garage 2 za kutengeneza magari

Asanteni
 
Aisee chaliii yangu kwa iyo hela jikite tu kwenye kilimo cha mbogamboga. Iyo biashara ya spare parts ni ya laana utakuwa unauza spare za wizi utakazoletea na siyo vizuri
 
wadau nauza spare parts za magari makubwa kama vile scania,faw,shacman na mengine mengi nauza kwa rejareja na jumla piah gharama zetu ni nafuu kabisa waweza nicheck kupitia whatsapp yangu +8613156409154
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…