Fanya application kwenye
www.accaglobal.com then peleka supporting documents (vyeti) kwa mail - kuna maelekezo ya kutosha. ACCA inawezekana kufanya bila review classes,kwani vitabu vyao vinaelezea kila kitu. Ila unahitaji muda wa kutosha kusoma, vitabu vyao vina mambo mengi sana na wanakutest karibu kila kitu unachotakiwa kujua.
Review classes kwa mtazamo wangu zinakupa mwanga tu, lakini wale jamaa wanatest vitu vingi sana. So hata kama mtu anaenda review anatakiwa ajisomee kwa muda wa kutosha sana kuhakikisha amemaliza kitabu, amefanya maswali na ameelewa. Huwezi kulinganisha na Degree tunavyosoma kwa raha. Unaweza kuotea mwalimu anatoa nini. ACCA kila siku wanaleta maswali mapya. Ila ukiwa umesoma hakuna kushindwa. BAF ya mzumbe? If so una paper 7 kumaliza ACCA. Unaweza kufanya 3,2,2 ukawa umemaliza.
Kila laheri. In case of usahuri zaidi, PM me nitakupa number yangu ya simu.