Nime Ku pm😀 Karibu sana mkuu
Biashara hajaianza natumai akianza atatuarifuWanakuja mkuu ila mm ntakuja kukopa.
Kwema karibuKwema humu?
Mdogo wako anafaa pia?Biashara hii kama unaweza Fanya sole proprietor ila kwa partnership kupata watu mtu utakayeendana nae sawa ni ngumu.
Au kama ni partnership kama una mke muweke au mtoto.
Mdogo wako anafaa pia?
Inategemea wadogo zetu wengi hawana uchungu na kile tunachohangaikia Kuwa makiniMdogo wako anafaa pia?
Inategemea wadogo zetu wengi hawana uchungu na kile tunachohangaikia Kuwa makini
Habari ya majukumu ndugu zangu, Mimi nahitaji kufungua kampuni ya mikopo ambayo mwanzo niliwaza kufanya mwenyewe (Sole proprietorship) ila katika process nikashauriwa nifanye hii kitu katika mtindo wa share na mtu. Nimepokea mawazo ya aliyenishauri ila nahitaji kujua zaidi faida na hasara za kufanya hii kitu mwenyewe na pia faida na hasara za kufanya hii kitu kwa mtindo wa patnership, kwa kuendana na hali halisi ya nchi
Tafadhali naomba mnijuze