Eliezar Mlwafu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2013 Posts 449 Reaction score 140 Feb 25, 2020 #1 Nataka kuifanya gari yangu IST kuwa ya biashara ya UBER ilikuwa ni 'Private' lakini sasa nimeshaibadili, kila kitu kuwa 'Commercial' So kitu ambacho sijui ni namna ya kujiunga na hii huduma ya Uber. Msaada wenu tafadhari wa maelekezo Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka kuifanya gari yangu IST kuwa ya biashara ya UBER ilikuwa ni 'Private' lakini sasa nimeshaibadili, kila kitu kuwa 'Commercial' So kitu ambacho sijui ni namna ya kujiunga na hii huduma ya Uber. Msaada wenu tafadhari wa maelekezo Sent using Jamii Forums mobile app
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Feb 26, 2020 #2 Check PM Sent using Jamii Forums mobile app
W Wise J Member Joined Jul 31, 2019 Posts 47 Reaction score 112 Feb 27, 2020 #3 nichek PM mkuu ikibidi tubadilishane namba tuongee A-Z
B51 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 582 Reaction score 798 Jul 5, 2020 #4 Wise J said: nichek PM mkuu ikibidi tubadilishane namba tuongee A-Z Click to expand... Wekeni mambo hadharani tupate faida na wengine
Wise J said: nichek PM mkuu ikibidi tubadilishane namba tuongee A-Z Click to expand... Wekeni mambo hadharani tupate faida na wengine
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jul 30, 2020 #5 Kaburiwazi said: Wekeni mambo hadharani tupate faida na wengine Click to expand... Hao madereva kisirani wanataka deiwaka
Kaburiwazi said: Wekeni mambo hadharani tupate faida na wengine Click to expand... Hao madereva kisirani wanataka deiwaka