Naomba ushauri, nataka kununua Subaru Impreza 1.5l ya mwaka 2010

e nkwasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
381
Reaction score
283
Wadau, pengine hili jukwaa sio mahala pake ila naomba ushauri juu ya hasa uimara wa engine na technical faults zozote kama zipo kwa gari aina hiyo. Sina uzoefu sana na Subaru. Ni hatchback, haina tulbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe Mpenzi msomaji ni #TeamToyota mwenzangu unaeamini kwa kuanzia kama una hela ya kawaida tu basi anza na Toyota kama ndio gari yako ya kwanza gonga like kwenye hii comment ili tujuane na twende pamoja sawa sawia kabisa.
 
Nunua tu mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kama njia zako hakuna kukaa kwenye foleni zaidi ya nusu saa kamatia, zina "aleji" na mwendo wa kobe na zinamalizia hasira kwenye tank ya mafuta. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…