Naomba ushauri, nataka kununua Toyota Rush

Naomba ushauri, nataka kununua Toyota Rush

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Wakuu nimerudi tena naomba ushauri kuhusu Toyota Rush. Niliwahi kuandika kuwa ni nataka kunua rush, lakini mambo yalikuwa hayajakaa vizuri nikaahirisha lakini sasa hivi nipo tayari.

Najua Toyota ni gari nzuri lakini kuna engine tofauti tofauti na pia watu wengi utawasikia nunua gari toleo la mwaka fulani usinue toleo la mwaka fulani, na pia utawasikia watu wanasema nunua rush yenge engine fulani na ya mwaka fulani.

Swali langu; je ninunue rush toleo gani ni yenye engine gani nzuri?

Nashukuru.
 
Hivi Toyota rush mnavipendea nini? Fuel consumption? Ama nini? Kuna gari ambazo bei ipo juu lakini ni vigari hovyo sana, ni raisi hata kubebwa na upepo, kina shape kama visuzuki vile wanavyopenda wachaga.
 
Suzuki Jimmy Massawe. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] We mchaga wewe, no offense ila vile visuzuki vinapendwa na wachaga acha tu, na hovi vina 4wheel, vinapita mlimani huko kila kona
 
Kimeo hicho
Screenshot_20210117-190605_Chrome.jpg
 
Kuna gari inaitwa prius utafurahi mwenyewe

Yani nipo kwenye mchakato haitofika may nitakuwa nayo,nipe uzoefu kama unayo maana nimeifatilia sana nimeona mafuta inanusa coz ni hybrid
 
Back
Top Bottom